UFAHAMU UGONJWA WA SAFURA

KWA MAGONJWA MENGINE BONYEZA HAPA

                        UFAHAMU UGONJWA WA SAFURA

Safura | Minyoo | worms

Safura ni ugonjwa unasabibishwa na minyoo/michango inayoitwa Tegu [hookworms].ugonjwa huu upo kote katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea.ugonjwa huu husababishwa na minyoo wa aina mbili wajamii hii ya hookworms ambao ni ancylostoma duodenale na necator americanus.minyoo.
      Minyoo hii huishi kwenye utombo mdogo wa chakula.na minyoo hii huwapata sana watoto wa mashuleni na wakat mwingine watu wazima




Njia ambazo zinaweza kusababisha mtu kupata safura

·         Kwa minyoo kujipenyeza kwenye ngozi ya mwili
·         Kula/kunywa chakula ,maji ambayo yanavimelea vya ugonjwa huu



Dalili za ugonjwa wa safura.

Wakti mwingine mtu anaweza asioneshe dalili zozote kama ana maambukizi haya hadi aende akafanyiwe vipimo vya maaba. Lakin dalili ambazo zinaweza kujitokeza ni kama zifuatazo


                        1.maumbikizi katika ngozi

·         Maumivu ndani ya ngozi
·         Kuvimba baadhi vijisehemu vya mwili
·         Ngozi kupata rash






                        2.homa isiyo kali
                    3.kikohozi
                       4.pneumonia ikiwa mtu amepata maambukizi makubwa
                        5.maumivu katika koo
                        6.upungufu wa damu sababu minyoo hii ikiingia katika mwili wa binadamu              hujishikiza katika kuta za utumbo wa chakula na kunyonya damu na ikiwa ni mingi hueza kusababiha upungufu wa damu.
                   7.kichefuchefu
                   8.kutapika
                    10.kuharisha,kinyesi chekundu,cheusi
                     11.maumivu kwenye tumbo



Matibabu ya ugonjwa huu

Ugonjwa huu hutibika vizuri na kupona kabisa.endapo mtu atagundulika na ugonjwa huu.


Jinsi ya kuzuia/kujikinga na ugonjwa wa safura

1.kunawa mikono na sabuni kila baada ya kutoka chooni
2.kunawa mikono kwa maji safi kila na baada ya kula
3.kumtibu mtu ambae ana ugonjwa huu ili kuepuka kusambaa kwa wengine
4.kuwa na choo safi na salama
5. kuepuka kujisaidia haja kubwa hovyo hovyo.
6.usipende kutembea bila viatu katika mazingingira hatarishi



  1. CORONA VIRUS
  2. MONKEY POX
  3. VAGINAL DRYNESS
  4. FIBROID
  5. INFERTILITY
  6. OVULATION CYCLE
  7. OVARIAN CANCER
  8. VAGINAL BACTERIA
  9. MALE INFERTILITY
  10. BEST DAYS OF CONCIEVING
  11. MUCUS AFTER OVULATION
  12. FOODS FOR ERECTILE FUNCTIONS
  13. PREGNANCY ANEMIA
  14. DO AND DONT DURING PREGNANCY
  15. ERECTILE DYSFUNCTION
  16. U.T.I IN PREGNANCY
  17. STROKE RISK
  18. EAT THIS NOT THAT
  19. HOOKWORMS INFECTION
  20. OMEGA 3 BENEFITS
  21. FASTING
  22. WEIGHT LOSS TIPS
  23. vitiligo
  24. ABORTION
  25. DENGUE VIRUS
  26. EBORA VIRUS
  27. FEVER
  28. URINARY TRACT INFECTION
  29. HOSPITAL INFECTIONS
  30. WEST NILE VIRUS
  31. YELLOW FEVER
  32. EYE DISEASE
  33. ZIKA VIRUS
  34. STRESS
  35. IRON DEFFICIENCE
  36. INSOMNIA (SLEEPING PROBLEMS)
  37. HEART PROBLEMS
  38. COMPONENTS OF BLOOD
  39. BLOOD DISORDER
  40. LABORATORY TEST OF BLOOD DISORDER
  41. BONE MARROW EXAMINATION
  42. BLOOD ANEMIA
  43. ANIMAL BITES
  44. EYE BURN
  45. CHOCKING
  46. HEAT STROKE
  47. SMOKE EFFECTS
  48. SNAKE BITE
  49. MALARIA VACCINE
  50. BEST WAY TO SLEEP A CHILD
  51. CHILD FEVER REDUCING
  52. ELEPHANTIASIS
  53. WOMEN BEARDS
  54. DATES
  55. PAPAYA FRUITS

Post a Comment

0 Comments