KWA MAGONJWA MENGINE BONYEZA HAPA
UFAHAMU UGONJWA WA
SAFURA
Safura
ni ugonjwa unasabibishwa na minyoo/michango inayoitwa Tegu [hookworms].ugonjwa
huu upo kote katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea.ugonjwa huu
husababishwa na minyoo wa aina mbili wajamii hii ya hookworms ambao ni
ancylostoma duodenale na necator americanus.minyoo.
Minyoo hii huishi kwenye utombo mdogo wa
chakula.na minyoo hii huwapata sana watoto wa mashuleni na wakat mwingine watu
wazima
Njia ambazo
zinaweza kusababisha mtu kupata safura
·
Kwa
minyoo kujipenyeza kwenye ngozi ya mwili
·
Kula/kunywa
chakula ,maji ambayo yanavimelea vya ugonjwa huu
Dalili za
ugonjwa wa safura.
Wakti
mwingine mtu anaweza asioneshe dalili zozote kama ana maambukizi haya hadi
aende akafanyiwe vipimo vya maaba. Lakin dalili ambazo zinaweza kujitokeza ni
kama zifuatazo
1.maumbikizi katika
ngozi
·
Maumivu
ndani ya ngozi
·
Kuvimba
baadhi vijisehemu vya mwili
·
Ngozi
kupata rash
2.homa isiyo kali
3.kikohozi
4.pneumonia ikiwa mtu
amepata maambukizi makubwa
5.maumivu katika koo
6.upungufu wa damu
sababu minyoo hii ikiingia katika mwili wa binadamu hujishikiza katika kuta za utumbo
wa chakula na kunyonya damu na ikiwa ni mingi hueza kusababiha upungufu wa
damu.
7.kichefuchefu
8.kutapika
10.kuharisha,kinyesi
chekundu,cheusi
11.maumivu kwenye tumbo
Matibabu ya
ugonjwa huu
Ugonjwa
huu hutibika vizuri na kupona kabisa.endapo mtu atagundulika na ugonjwa huu.
Jinsi
ya kuzuia/kujikinga na ugonjwa wa safura
1.kunawa
mikono na sabuni kila baada ya kutoka chooni
2.kunawa
mikono kwa maji safi kila na baada ya kula
3.kumtibu
mtu ambae ana ugonjwa huu ili kuepuka kusambaa kwa wengine
4.kuwa
na choo safi na salama
5.
kuepuka kujisaidia haja kubwa hovyo hovyo.
6.usipende
kutembea bila viatu katika mazingingira hatarishi