HIGH BLOOD PRESSURE
Msukukumo mkubwa wa damu( silent killer). Imeitwa silent kila kwa sababu mara nyingi haina dalili na vigumu kuigundua.
Mtu anapokuwa ana msukukumo mkubwa wa damu ina maana moyo wako unafanya kazi kubwa kuliko kawaida ya kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili. Endapo isipotibiwa inaweza sababisha mshituko katika (brain attack),mshituko wa moyo, macho ,matatizo ya figo na mwisho wa siku husababisha kifo
CHUKUA HATUA ZIFUATAZO KUZUIA MSUKUMO MKUBWA WA DAMU
- Angalia msukumo wa damu mara kwa mara kama uko kawaida,juu au kama unanyemelewa na msukumo mkubwa wa damu.
- tengeneza mazingira ya kujijengea kuwa na uzito wa wastani
- Chagua na andaa chakula chenye chumvi kiasi
- Kula sana matunda,mboga za majani na vyakula vyenye mafuta kidogo
- Epuka unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji sigara
- kam daktari amekuandikia dawa za kupunguza msukumo wa damu ulio juu tumia kwa kufuata maelekezo . read more other disease
- CORONA VIRUS
- MONKEY POX
- VAGINAL DRYNESS
- FIBROID
- INFERTILITY
- OVULATION CYCLE
- OVARIAN CANCER
- VAGINAL BACTERIA
- MALE INFERTILITY
- BEST DAYS OF CONCIEVING
- MUCUS AFTER OVULATION
- FOODS FOR ERECTILE FUNCTIONS
- PREGNANCY ANEMIA
- DO AND DONT DURING PREGNANCY
- ERECTILE DYSFUNCTION
- U.T.I IN PREGNANCY
- STROKE RISK
- EAT THIS NOT THAT
- HOOKWORMS INFECTION
- OMEGA 3 BENEFITS
- FASTING
- WEIGHT LOSS TIPS
- vitiligo
- ABORTION
- DENGUE VIRUS
- EBORA VIRUS
- FEVER
- URINARY TRACT INFECTION
- HOSPITAL INFECTIONS
- WEST NILE VIRUS
- YELLOW FEVER
- EYE DISEASE
- ZIKA VIRUS
- STRESS
- IRON DEFFICIENCE
- INSOMNIA (SLEEPING PROBLEMS)
- HEART PROBLEMS
- COMPONENTS OF BLOOD
- BLOOD DISORDER
- LABORATORY TEST OF BLOOD DISORDER
- BONE MARROW EXAMINATION
- BLOOD ANEMIA
- ANIMAL BITES
- EYE BURN
- CHOCKING
- HEAT STROKE
- SMOKE EFFECTS
- SNAKE BITE
- MALARIA VACCINE
- BEST WAY TO SLEEP A CHILD
- CHILD FEVER REDUCING
- ELEPHANTIASIS
- WOMEN BEARDS
- DATES
- PAPAYA FRUITS
0 Comments