JINSI YA KUPUNGUZA UZITO WA MWILI.

1.VINYWAJI

   Watu wengi bado hawajagundua vinywa wanavyokunywa vina athari katika uzito wa miili yako. Maji ni tofauti na vinywaji vingine kwa sababu maji yanasaidia kukontrol uzito wa mwili wa binadamu.na njia zifuatazo zaweza kupunguza uzito wa mwili kwa kutumia maji
       
 _kunywa maji mengi kwa siku.   Hii itasaidia ujisikie tumbo limejaa na hii itasaidia usiweze kula chakula sana na ukala kidogo chenye kuhitajika na mwili

_Anza siku yako kwa kunywa glass moja ya maji.

_Epuka unywaji wa soda au juice zenye sukari nyingi kupitavkiasi

_Epuka unywaji wa pombe ovyo.


2.BADILISHA MFUMO WA UPIKAJI CHAKULA CHAKO NA ULAJI WAKE

_Ulaji sahihi unasaidia kupunguza uzito wa mwili

_Kuwa makini kitu gani unakula.kabla hujaweka katika tumbo fikiria afya yako

_Epuka kulakula ovyo bila wakati maalumu

_kama unaweza jizoeshe kufunga(FASTING)

_Epuka ulaji wa mayai kupita kiasi
_Epuka ulaji wa nyama nyekundu mfano pork,cow meat na mbadala wake tumia nyama nyeupe

_Epuka uungaji wa mafuta mengi katika chakula

_Epuka kutumia mafuta yatokanayo na wanyama

_Tumia mafuta yaliyosindikwa kutokana na nafaka


3.MAZOEZI

_fanya mazoezi mara kwa mara mfano kukimbia,kuruka kamba,push up na mengine yaliyo rahis kwako

_kuwa na adabu katika mazoezi yako ufanyayo

_pima uzito kila baada ya mwezi ili kuona maendeleo ya uzito wako


Ongezeko la uzito ni hatari kwa afya yako kwani inaweza kusababisha matatizo mengi na kuweza kupelekea kifo

Post a Comment

0 Comments