CERVICAL
CANCER [KANSA YA MLANGO WA KIZAZI] AND
HUMAN PAPILLOMAVIRUS HPVs.
Kansa ya
kizazi ni ugonjwa[kansa] inayosababishwa na
kirusi[virus] anayeitwa Human papillomaviruses (HPVs) .na virusi hawa
wanpatikana sana kwa viumbe wenye sifa ya mammalian.
Virusi hawa
ni wenye nguvu na baadhi ya virusi hawa imeripotiwa wanaweza patikana [kuishi]
katika sehemu chafu [damp surface]
,towels, formites.
Virusi hawa
wapo Zaidi ya 100 [kwa aina zao] lakini aina 30 ya virui hao inasemekana ndio
wanaosababisha kansa ya kizazi.
NJIA GANI ZINAWEZA KUSABBISHA MTU
KUPATA KANSA YA KIZAZI
Kansa ya
kizazi inaweza enezwa kwa mtu ambaye ata ingiliwa na kirusi aina ya human papillomavirus
kupitia migusano ya ngozi baina ya mgonjwa ambaye ana umwa ugonjwa huu ,mara
nyingi huambukizwa kwa njia ya kufanya tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizi
na ugonjwa huu.
VIRUSI HAWA WANAOWEZA SABABISHA KANSA YA MLANGO WA KIZAZI
WAMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU MBILI
1.High
risk HPVs [virusi wenye hatari Zaidi]
Takrilibani
asilimia 70% ya kansa ya mlango wa kizazi inasababishwa na virusi hao namba
moja high risk HPVs.
2.low
risk HPVs [virusi wenye hatari ndogo]
MAENEO AMBAYO VIRUSI HAWA HUWEZA
KUSHAMBULIA NA KUSABABISHA UGONJWA AU MAAMBUKIZI KWENYE MWILI WA BINADAMU
1.cutaneous infections [
maambukizi ya ngozi]
Hawa huweza
kusababisha na aina ya pili ya virusi tuliowataja juu.na inaeza kuwapata watu
ambao mara nyingi huwa wana kuwa wanashika shika maji ambayo tayari ya vijidudu
hawa hasa kwenye mabucha na fishmongers.
2. Anogenital warts [maambukizi
sehemu za siri ]
Hii huwapata
watu ambao hufanya mapenzi mara kwa mara [sexually active adults]
Kwa wanawake
hushambulia mashavu[vulvar] katika sehemu
zao za siri
Kwa wanaume
hushambulia katika sehemu ngumu ya siri[peni shaft],ngozi ya juu ya sehemu za
siri za nyuma na bomba la nyuma [anal canal].
3.orolaryngeal lesion [mammbukizi
ehemu za mfumo wa upumuaji]
Hii ni
mara nyingi kwa watoto chini ya miaka 5 na wakubwa kuanzia miaka 15
Watoto huweza
kupata maambukizi kupitia kwa mama zao pindi wanapozaliwa
Na wakubwa
hupata kwa mapenzi ya kutumia mdomo.[orogenital contacts]
Hayo maambukizi{infection/wart/lesion]
yote ya hapo juu tuliyiyataja ndio
yanayo weza kuja kuleta sasa ugonjwa wenyewe ikiwa muhusika ataziona dalili na
kuzipuuzia.
4.kansa ya kizazi
[genital cancers]
Ambayo ugonjwa huu una hatua tatu
Dalili za kansa ya mlango wa
kizazi
irregular,
intermenstrual (between periods) or abnormal vaginal bleeding after sexual intercourse;[
matatizo katika mzunguko wa hedhi,na kuvujwa na vitu viivyo vya kawaida katika
maumbile ya mwanamke baada ya tendo la ndoa]
back,
leg or pelvic pain;[maumivu ya kiuno na miguu]
fatigue,
weight loss, loss of appetite;[ kupungua uzito,kukosa hamu ya kula,mwili kukosa
nguvu]
vaginal
discomfort or odourous discharge; and
a single
swollen leg.[kutokwa na maji maji yanayonuka katika maumbile ya mwanamke]
JINSI YA KUJIKINGA NA MARDHI HAYA
KAPIME
VIPIMO VYA AWALI VYA KANSA YA KIZAZI
KAPIME
KAMA VIRUSI HAWA WANAOSABABISHA UGONJWA HUU KAMA UKIONA DALILI TULIZOZIONA HUKO
JUU
EPUKA
UVUTAJI WA SIGARA
EPUKA
KUWA NA WAPENZI WENGI
WAHI
CHANJO KWA WASICHANA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 13 [AMBAO BADO HAWAKO MOTO
KWENYE TENDO LA NDOA]
Ikumbukwe
kansa ya malngo wa kizazi inawaathiri sana wanawake mwanaume anaweza akawa nao nay
eye akawa anamuambukiza mwanamke mmoja na mwengine wakati huo yeye hana dalili
na baadhi yao huwa na dalili.
0 Comments