Zifahamu aina za barabara
Kuna aina kadhaa za
barabara zinazopatikana duniani na zinazotambulika Tanzania .mfano wa aina hizo
za barabara ni
1.
1.MAIN ROAD.
Main
road inaweza kuwa ya vumbi ,au yenye molamu au yenye lami madamu iwe na ifa
zifuatazo
A}inaruhusu
kupita magari ya aina zote. (Understand your car)
B}inahudumiwa
na barabara nyingine
c}kuwa
busy na shughuli za usafirishaji muda wote
2.STREET
ROAD.
Hii
tunasema ni aina ya barabara inayopita kwenye makazi ya watu iwe ya lami au
isiwe ya lami ikiwa inapita kwenye makazi ya watu tunaema ni street road.
3.AVENUE
ROAD.
Hii
ni aina ya barabara ambayo inaweza itwa [traditional route] na imenyooka ambayo
inapita ikiwa pembeni kuna miti .pia hii
inaweza kupita katika makazi ya watu
4.HIGH
WAY ROAD.
Hii
ni aina ya bara bara inayo unganisha mkoa na mkoa au nchi na nchi pia hii
inaweza kuwa ni main road pia.na inaweza fanya shughuli kama za main road. Na sifa
nyingine ina uwezo wa kujihudumia yenyewe kwa maana inaweza isiwe na barabar
nyingine zinazoiingia.
5.DRIVE
IN ROAD
Hii
ni aina ya bara bara inayoweza kuwa fupi,au private road kwa matumizi ya
kawaida na si kama street road au avenue road.au barabara inayoelekea kwenye parking
6.SERVICES
ROADS.
Hizi
ni aina za barabara ndogo ndogo ambazo zinaingia
na kutoka kwenye barabara kuu na zinatoa huduma pembezoni mwa barabara kuu na
zinaweza kutumiwa na waenda kwa miguu na baiskeli.