UNDERSTAND YOUR CAR

                                      understand your car.
                                          


                               lifahamu gari lako
maelezo ya kulijua gari lako yanalengo kumfahamisha dereva kuwa 
kukinga ni bora kuliko tiba
uzembe huleta hatari
daima fikiria mbele
           ni matarajio ya abiria kufika salama katika muda uliopangwa .na dereva atatunza gari lake kuepusha uharibifu na uchokavu wa haraka.ni muhimu kwa dereva kulijua gari lake..


                             ifuatayo ni mifumo mikuu ya sehemu za gari
 CHASIS[FREMU] 
Hufungwa na kubeba sehemu na mifumo yote  mikuu ya gari isipokuwa magurudumu.


SEHEMU YA INJINI[CHANZO CHA NGUVU]

Hii ni sehemu ya gari inayotumika kuifua nishati inayotumika kuendeshea gari.injini hufanya kazi kwa kusaidiwa na mifumo yake ambayo ni

  • mfumo wa ulainihaji[lubrication system]
  • mfumo wa upoozaji[cooling system]
  • mfumo wa mafuta na hewa[fuel supply and air]
  • mfumo wa ignisheni kwa injini za petrol na mfumo wa injeksheni kwa injini za disel
  • sehemu ya mfumo wa kupitisha mwendo/nguvu[upeleshi]    
mfumo wa upeleshi unasaidia kuunganisha nguvu kutoka kwenye injini kwenda kwenye magurudumu ya kuendeshea gari kupitia kwenye klachi,gia boksi,propela shaft,gia za mwisho wa difu.


                                                         klachi.
   inatumika kuunganisha au kutenganisha  nguvu/mwendo kati ya injini na gia boksi hali ambayo humwezesha dereva
  •  kuondoa gari na kuanziha mwendo
  • kubadili gia
  • kusimamisha gari ikiwa kwenye gia  

                                                         gia boksi
 huwezesha gari kuwa katika kasi tofauti kufuatana na mzigo wa gari na nguvu inayohitajika,mazingira ya barabara na matakwa ya dereva
          kuwa free[neutral]
         kurudi nyuma[reverse]

                                     propela shaft.
ina kazi ya kuunganisha mwendo/nguvu kati ya gia boksi na gia za mwisho       


endelea kutembelea tovuti yetu Click here
       


Post a Comment

0 Comments