UNDERSTAND
YOUR CAR
Kwa
wale mliofuatilia Makala iliyopita basi leo tundelee na pale tulipoishia .endelea
kutembelea blog yetu kwa Makala nyingine
Propelashaft.
Ina kazi ya kuunganisha mwendo/nguvu kati ya
gia boksi na gia za mwisho.
Gia za mwisho na difu.
·
Hutumika na kuwezesha gari kupunguza na
kudhubiti kasi ya injini ili kuongeza nguvu kwa kutumia uwiano wa gia
·
Kubadilisha mzunguko /mwendo wa propel shafti
kutoka nyuzi 90 kwenye ekseli,shaft na magurudumu
·
Kuruhusu magurudumu yanayoendesha gari
kwenda katika kasi tofauti wakati wa kukata kona.
Sehemu ya mfumo wa
mneso[suspension]
Yaani inajumuisha
,tairi,spiringi na shockuaborber pamoja na kubeba mzigo wa gari sehemu
hupunguza misukumo na mitikisiko ya barabara wakati gari linatmbea na hivyo
kuongeza starehe,kupunguza uharibifu wa mizigo na sehemu nyingine za gari
Sehemu ya kudhibiti
muelekeo wa gari[usukani]
Sehemu hii inamsaidia
dereva kuliongoza gari na kudhibiti uelekeo wake.
Sehemu ya mfumo wa
umeme
Mfumo wa umeme unasaidia kuwasha injini,kuchaji
betri,kuwasha taa na mifumo mingine ya gari kama honi,radio,geji,waipa na
vingine
Seheu ya breki
Sehemu hii humsaidia
dereva .
·
Kupunguza mwendo na kusimamisha gari
·
Kuegesha gari
Ndugu msomaji wa Makala hii endelea kutembelea blog yetu
hapa hapa ili kupata Makala nyingine ya ijue gari yako