AFYA: HZI NDIZO DALILI ZA KUPATA MSHITUKO WA MOYO(HEART ATTACK WARNING SIGNS)

Heart stroke
Ndugu msomaji ni muhimu sana kugundua dalili za mshityko wa moyo wewe mwenyewe na watu wanaokuzunguka .na endapo mtu atazembea dalili hizi anaweza kupata matatizo hayo .

  Hizi ni dalili za kupelekea mshtyko wa moyo kwa baadhi ya wagongwa na endapo ukiona dalili moja wapo au zaidi ya moja imetokea kwa muda mrefu tafadhari fika kituo/hospitali iliyo karibu nawewe.

     1.KIFUA KUUMA NA KUBANA.
       Magonjwa mengi ya mshituko wa moyo inajumuisha kujisikia vibaya katikakati ya kifua ambayo yanaweza kuja na kupotea kwa dakika chache.unaweza kuhisi pressure ndani ya kifua,kupana,kujazaa na maumivu.maumivu yanaweza kuwa ya katikakati au maumivu makali kabisa



    2.KUJISIKIA VIBAYA KWENYE MKONO MMOJA AU YOTE,MAUMIVU NYUMA YA MGONGO,TAYA NA TUMBO


3.KUPUMUA KWA SHIDA
     Unajisikia kama huwezi kupumua au unapumua kwa shida


3.JASHO LA WAKATI WA BARIDI( BREAKING OUT IN A COLD SWEAT)
  Watu wenye matatizo ya moyo wanaweza kupatwa na hali hii.


4.KICHEFUCHEFU

       HII ni kutokana baadhi ya wagonjwa wa mshituko wa moyo wanaweza kuumwa na tumbo ikawapelekea hadi kuwa wanahisi kichefuchefu


5.KUUMWA KICHWA CHA UPANDE WA KULIA(LIGHT HEADEDNESS)
     Watu wenye matatizo ya mshitukobwa moyo wanaweza kuwa na tatizo la kuuma kichwa upande wa kulia mara kwa mara.


Wanawake wenye matatizo ya mshituko wa moyo mara nyingi dalili moja wapo huwa ni matatizo ya kifua kuliko kwa wanaume.

Haijalishi wewe ni mwanaume au mwanamke si lazima kuwa na dalili zote tulizozitaj hapo juu kwa pamoja ndio utakuwa na mshituko wa moyo

NOTE: Maumivu ya kifua inaweza kuwa dalili za magonjwa mengine tofauti na mshituko wa moyo ni vyema upatapo dalili wahi hospitali mapema

WATU HUWA HAWAJIJUI KAMA WANA MATATIZO YA MSHITUKO WA MOYO KWA SABABU ZIFUATAZO

     1.Watu wanafikiri kuwa na mshituko wa moyo ni kupata maumivu ya kifua na kudondoka chini kama waonavyo kwenye filamu(movies)
        _hii ni imani isiyo sahihi kiukweli si kila mwenye mshituko wa moyo lazima apate kama ilivyo kwenye movies.na heart attack inaanza na dalili ndogondogo na mwishowe zinakomaa

      2.mtu anaweza kuchanganya dalili za mshituko wa moyo na dalili za magonjwa mengine mfano kufeli kwa moyo,arthritis,Athma au cansa. Au kujivuta kwa misuli ya moyo(pulled musles), Mafua au indigestion

Kuchelewa kutibu maradhi hayo kunaweza kupelekea kifo.

Post a Comment

0 Comments