Fahamu alama za barabarani| road signs

roads signs



1.Tahadhari/onyo mbele kuna kona kali kuelekea kushoto
2.tahadhari/onyo mbele kuna kona isiyo kali kuelekea kushoto
3.tahadhari /onyo mbele kuna kona mbili moja kuelekea upande wa kushoto ya pili kuelekea kulia
4.tahadhari/onyo mbele kuna kona mbili ya kwanza kuelekea kulia na nyingine upande wa kushoto


(Read here aina za barabara)

7.tahadhari/onyo mbele kuna daraja jembamba
8.tahadhari /onyo mbele barabara inapungua kwa pande zote
9.tahadhari /onyo mbele barabara inapungua kwa upande wa kushoto
10.tahadhari/onyo mbele barabara inapungua kwa upande wa kuli.


Post a Comment

0 Comments