Inawezekana unatumia kikombe cha chai au kikombe cha kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa ndio tabia ya kila siku , hata hivyo wachunguzi wanasema kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi wakati tumbo halina kitu unapata faida za kiafya zaidi.
Madactari wanashauri kutumia maji ya uvuguvugu yaliotiwa liau au ndimu ili kupunguza radical ndani ya mwili. Kutumia maji ya moto inaongeza na kufungua utumbo ili kukufanya wewe upate haja kubwa kwa urahisi
Na hapa kuna faida 7 za vitu vinavyotokea katika mwili wako utakapoanza kutumia maji ya moto kila asubuhi.
1. Yanasaidia kuondoa Mikunjo.
Kunywa maji inakusaidia usizeeke mapema,hakuna mtu anaependa kuzeeka mapema.hata hivyo sumu ndani ya mwili inaweza kukufanya uzeeke mapema. Wakati mwili wako unapotoa sumu utapunguza magonjwa na uzee. Maji ya moto usaidia kuondoa sumu na yanasafisha kabisa. Zaidi sana yanasaidia kurejesha cells za ngozi iwe inaonekana kuvutia na nyororo.
2. Huepusha maumivu.
Dawa ya nguvu ya kutegemea kupunguza maumivu wakati wa hedhi ni maji ya moto, yanafanya misuli ya tumbo irelax na kupungua kwa maumivu. Maji ya moto husaidia mzunguko kapirali na misuli katika mwili pia.
3. Yanasaidia kupunguza uzito.
Inawezekana unajaribu kupunguza uzito na umesikia kuwa maji ya moto asubuhi yanaweza kuwa ni msaada mkubwa kwako. Hii ni kweli., maji ya moto yanaongeza joto la mwili, ambalo linabadilisha ongezeko la kiasi cha metabolic, kuongezeka kwa metabolic mwili unakuwa na uwezo wa kuchoma carories siku nzima.
Kama ukianza na kunywa maji ya moto yenye limau. Utausaidia mwili wako kuvunja vunja mafuta yalioko ndani.
4. Yanaboresha digestion.
Unapokunywa maji ya moto asubuhi unastimulate digestion yako na kuusaidia mwili kuwa na digestion bora. Kunywa maji ya baridi ya ya kula chakula inaweza kusimamisha digestion yako, na mwili wako ukawa na matatizo, maana maji yabaridi yana gandisha mafuta yalioko kwenye chakula na kufanya digestion iwe ngumu kwako. Ni bora ukatumia maji ya moto kuliko ya baridi.
5. Yanaboresha mzunguko wa damu mwilini.
Kunakuwa na mlimbikizo wa mlolongo wa nervous na mlimbikizo wa mafuta mwilini , lakini unapotumia maji ya moto yanaenda kuondoa hio migandanizo. Hii process inaflash sumu yote ndani ya mwili na kuufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri na kufanya misuli kupumzika.
6. Yanakufanya Upate Usingizi Vizuri.
Unapotumia maji ya moto wakati wa chakula cha usiku, na kabla ya kwenda kulala, utaufanya mwili wako kurelax na kulainisha nerves zako. Hii itakufanya ulale vizuri na kuwa na utashi mzuri kwa ajili ya kuamka asubuhi.
Tumeona faida 7 za kushangaza ambazo zinaweza kutokea katika mwili wako utakapoanza kutumia maji ya moto kila asubuhi na jioni . Anza sasa kutumia maji ya moto kila siku ili uone faida nzuri tulizosoma hapo juu kwa ajili ya manufaa yako .
Mimi nimeanza kujaribi na nimeona kuna faida, anza nawe sasa read more ...

0 Comments