Jobs in Tanzania: 100 New Job Vacancies Dar es Salaam at Maxcom Africa PLC | Deadline: 31st December, 2018
AJIRA|VACANCY
Overview:
Maxcom Africa is an ICT integration firm owned by native Tanzanians and headquartered in Dar es Salaam. We have extensive operations in East African nations of Rwanda and Burundi. We are currently opening new service frontiers in Kenya, Uganda, Zambia, Malawi and Ghana as we seek to extend service to the rest of the continent.
Being among companies vetted by Tanzania’s Commission of Science and Technology (COSTECH), Maxcom Africa operates under the commission’s ICT incubator (Dar Teknohama Business Incubator – DTBi), which is a non-for-profit hub for technology startups. It identifies and promotes innovative ideas with value added services for the growth of ICT Technology in Tanzania.
Full details of 100 currently available vacancies at Maxcom Africa please read below
TANGAZO LA NAFASI 100 ZA KAZIMAXCOM AFRICA PLC
MKampuni ya Maxcom Africa PLC,Maarufu kwa jina la Maxmalipo ambayo inajihusisha na mifumo ya malipo ya Kielektroniki kwenye taasisi mbalimbali binafsi na za Serikaliinatangaza nafasi za ajira ya muda katika sekta ya mauzo(Sales Freelancer)
Nafasi: Sales Freelance
Malipo: Kamisheni(Commission based)
Idadi: 100
.MASHARTIYA JUMLA
1.Waombaji wawe na elimu ya Secondary na kuendelea
2.Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
3.Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua ya ma
4.maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
5.Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.v) yenye anwani na
namba za Simu za kuaminika pamoja na majina ya Wadhamini (Referees) Watatu wa kuaminika
6.Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma
7.Picha moja"Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina la nyuma
8.Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45.
9.Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31.12.2018.Maombi yanaweza kutumwa kwa njia ya Posta kupitia anuani ifuatayo.
Msimamizi wa Kitengo cha Mauzo
Maxcom Africa Plc
P.O.Box 31211
Dar es alaam.
Au MAOMBI YALETWE KWA MKONOKATIKA OFISI ZA MAXCOM ZILIZOPO JENGO LA
MILLENNIUM TOWERS(LAPF TOWERS) KIJITONYAMA, GROUND FLOOR.
0 Comments